Download lagu JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO Mp3

JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO

Uploader: Don Shafineyz TV

Duration: 13 Menit 6.00 detik

Fast Download



Klik kanan dan open LINK new Tab setelah proses convert selesai
Apabila tampil halaman iklan, tutup halaman tersebut Lalu klik kembali Tombol DOWNLOAD MP3/MP4

Deskripsi:

Title: JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO
Contributing Artist: Don Shafineyz TV
Album: JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO - Single
Date: 08 February 2020
Duration: 13 Menit 6.00 detik
Type of file: Audio MP3 (.mp3)
Audio Summary: mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s

NAMNA
NAMNA YA KUOLEWA NA JINNI AU KUMUOA JINNI AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO
Ndoa ni muonganiko wa Wapenzi wawili walioshibana ambapo hupata baraka zote kutoka kwa wazazi na pia ndoa hufanyika katika misingi ya kiimani za kidini Licha ya Baadhi ya Watu wachache waliofunga ndoa za Bomani
Ni kawaida kwa Mwanaume Kutamani kufunga ndoa na mwanamke mrembo Sana na Mwenye vigezo vya kuitwa mke Hivyo Hivyo pia kwa wanawake, wao wanatamani Mwanaume Mwenye Kila sifa ya kuwa baba bora wa Familia japo ukiwa na Pesa kwao ndio kigezo namba moja
Najua umesikia na kushuhudia Watu au Mtaani wakiongelea Masuala ya kufunga ndoa na Majini
Najua umeshawahi kusikia Watu waliokwenda na Binti Ndani Kisha wakatoka mbio Boxer Mkononi Kisha Mrembo kageuka Ngamia huko Ndani.
Najua umesikia Watu wanaopenda kutongozatongoza wamekutana na Binti Mrembo Lakini Mguuni wanna kwato
Najua Umesikia kuwa Kuna Wabinti wao Kila wakipata Mwanaume Basi huyo mume au bwana tutamzika kesho kutwa.
Vipi kwa Upande wako,umeshawahi kuwaza au Kutamani kufunga ndoa na Majini..?
Na Ndoa yenu ikafungiwe Chini ya Bahari Ukiwa Umezungukwa na jopo kubwa la majini.!!
Najua hapo Ulipo unajiuliza Maswali Mengi sana ,utawezaje kufunga ndoa na Jinni,na utampataje na Mtaishi vipi baada ya kufunga Hiyo Ndoa
Naomba nikufahamishe na NIKUPE tahadhari ndugu YANGU yaani Kama Unatabia ya Kuchepuka Ndoa hii Achana nayo Maana Yatakayo Kukuta Ni Mazito.
Ukifunga ndoa na Jinni ndugu YANGU fahamu kuwa Utakuwa umejifunga, haupata Tena nafasi hata ya kuonja onja pembeni,Uswahilini wanasema Kubadilisha Mboga.
Sasa ukiwa umefunga ndoa na Jinni Jiandae Kulumagia, kwasababu Hautabadilisha Ladha na kuonja onja Mboga Tena.
Kwanza Kaa Ukijua Jinni Ukiwa nae Katika Mahusiano huwa Anawivu Sana,tena Majini wanawivu kuliko Binaadamu.
Ukiwa nae hataki umsaliti maana popote ulipo yeye anakuona,usijidanganye ukajibanza Vichochoroni na Wakina Mwajuma Ndala Ndefu Utadhani hakuoni.
Jinni hata ukiwa chini ya Ardhi anakuona, Sasa Wewe kama umezoeya kukaa na Mchepuko Wako tena mmenjificha ili msionekane na macho ya watu Jicho la jinni ndugu YANGU litakumulika hata Uwe Uvunguni.
pia Unapaswa UFAHAMU kuwa Jinni hapendi kudanganywa,Wale wanzangu na Mimi Wakudanyanga wanaenda kuangalia mpira Wa Simba na Yanga Kisha unasikia mayowe ya Kushangilia yanatokea Gest ya Jirani
sasa ukiwa na Jinii hautapata nafasi ya Kufanya Hivyo, kama uliisha zoeya kuwadanganya wakina HAMIDA basi ishia hapo hapo Huku kwa wenzetu wanataka TRUE LOVE Ukimsaliti Malipo yako Wewe ni Kifo Tu Hautopata Nafasi ya kupeleka vijizawadi na Visenti ili usamehewe ukiwa na Jinii Ndugu YANGU Jipange Kubaki Nje Ya kuu,kwake michepuko Haina Dili
Ngoja Tuendelee na Elimu Yetu Leo A
Hakuna Kulala Maana Somo la leo ni Zito Somo hili halipendekezwi kwa watu chini ya umri wa miaka 18 na hili Ni ANGALIZO kutokana na hatari kubwa itokanayo na viumbe hawa.
Mawasiliano ya Dr Shafii ni +255692007575
#wasafimedia #thestorybook #wasafifm #millradayo #uhaitv
Download Lagu Gratis JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO di Gudang Lagu - Lagu456, Download Lagu JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO Mp3 - Lagu Terbaru. Download Lagu JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO ,Download Video JINSI YA KUFUNGA NDOA NA JIINNI ILI AWE MMEO AU MKEO AKUSAIDIE KATIKA MAISHA YAKO 3gp Mp4
Click to Install Lagu456.vip