Download lagu 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy Mp3

430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy

Uploader: MirathiYaMitume

Duration: 1 Menit 22.00 detik

Fast Download



Klik kanan dan open LINK new Tab setelah proses convert selesai
Apabila tampil halaman iklan, tutup halaman tersebut Lalu klik kembali Tombol DOWNLOAD MP3/MP4

Deskripsi:

Title: 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy
Contributing Artist: MirathiYaMitume
Album: 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy - Single
Date: 12 November 2012
Duration: 1 Menit 22.00 detik
Type of file: Audio MP3 (.mp3)
Audio Summary: mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s

430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy
Swali:
Inajuzu kwa mwanaume Muislamu kuoa Jini lanamke na kinyume chake?
´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy:
Jambo hili wametofautiana kwalo wanachuoni. Nionavyo mimi ni kwamba inajuzu. Ama Kauli Yake Allaah (Ta´ala):
وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً
"Na katika Aayah Zake ni kwamba Amekuumbieni kutokana na nafsi zenu (jinsi moja) wake ili mpate utulivu kwao; na Amekujaalieni baina yenu mapenzi na Rahmah." (30:21)
Hii ni dalili pia kubwa (kwa wale wenye kupinga) ya binaadamu kumuoa binaadamu mwenzake, na Jini kumuoa Jini mwenzake. Lakini mtu akioa Jini hakuna kinachokataza, au mwanamke akiolewa na Jini hakuna kinachokataza. Lakini Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) anaonelea hili kuwa ni Makruhu. Mwanamke atoke ni mwenye mimba, akiulizwa "Wapi umetoa ujauzito huu?" Aseme "Nimeolewa na Jini." Ni kweli huenda huku ikawa ni kufungua mlango wa Zinaa.
Download Lagu Gratis 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy di Gudang Lagu - Lagu456, Download Lagu 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy Mp3 - Lagu Terbaru. Download Lagu 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy ,Download Video 430- Mtu Anaweza Kuoa Jini? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy 3gp Mp4
Click to Install Lagu456.vip