Download lagu AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 Mp3

AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816

Uploader: SUYUTI ABUU HASSAN ASALAFY

Duration: 11 Menit 44.00 detik

Fast Download



Klik kanan dan open LINK new Tab setelah proses convert selesai
Apabila tampil halaman iklan, tutup halaman tersebut Lalu klik kembali Tombol DOWNLOAD MP3/MP4

Deskripsi:

Title: AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816
Contributing Artist: SUYUTI ABUU HASSAN ASALAFY
Album: AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 - Single
Date: 07 July 2019
Duration: 11 Menit 44.00 detik
Type of file: Audio MP3 (.mp3)
Audio Summary: mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s

*NI IPI SABABU AMBAYO INAFANYA JAMII KWA UJUMLA KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA?*
Sabubu zinazoweza kupelekea jamii kwa ujumla kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni nyingi lakini kwa ujumla karibu zote tunaweza kuzigawanya katika makundi *matatu*
1⃣Sababu ya kwanza ni *JINI*
2⃣Sababu ya pili ni *Nafsi*
3⃣Sababu ya tatu ni *Dunia*
*Kwa Leo tutaongelea Jini ambaye ni hatari anayesababisha jamii kwa ujumla kukosa hamu ya tendo na jinsi ya kuepuka na kulitibu hili tatizo ili uendelee kufurahia Maisha ya ndoa*
*Jini AshiQi*
Jini huyu ni katika Majini wa hatari saana kwa mwanadamu,Na jini huyu ndie ambaye anaeongoza katika kuzivunja ndoa za watu,Pamoja na kuwasababishia mifarakano mikubwa katika ndoa zao.
*Na dalili za kujua kuwa mtu huyu sasa kapatwa na Jini AshiQi ni hizi zifuatazo*
1⃣Udhuru katika jambo ndoa (Yaani mwanaume au Mwanamke akipata mchumba wa kumuoa au mwanamke akipata mchumba wa kumuoa hataki kuolewa au kuoa,Basi yeye anakuwa ni mtu wa kutoa nyudhuru kila wakati.
2⃣Kuwa na Ubaridi sehemu za siri kama ni mwanamke.Ikiwa ni mwanaume uume kuwa mlegelege au kupoza kama mfuko wa shati.
3⃣Kupata maumivu makali haswa kwa wanawake wakati wa tendo la ndoa.
4⃣Maumivu makali wakati wa kutokwa na hedhi.
5⃣Kuwa na harufu mbaya sehemu za Siri .
6⃣Mwanamke kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa na kuchukia kabisa kitendo hicho.
7⃣Kuwashwa Saana Sehemu za Siri.
*Naam sababu za kutoa nyudhuru kila wakati ni hizi zifuatazo*
((A))Mwanamke humuona Mchumba au Mume wake yuko na sura
ya mbaya,Humuona mume au mchumba anakosoro katika maumbile yake.Na yote hayo husababishwa na Jini AshiQi.
Pia mambo haya yanaweza kujitokea kwa mume wake .
((B))Husababisha hasira za hapa na pale na mke anweza kumjibu mumewe maneno ya siyofaa bila kujali kuwa anazungumza na nani.
*Kwa leo tutaishia hapa inshaallah muhara ujao tutaelezea ni zipi sababu zinazo pelekea mtu kupatwa na Jini huyu?na namna ya kutibu tatizo hili*
Ila nikuombe ili kuweza kufikiwa kwa haraka na maada zetu kuwa wa kwanza *Subsceribe* katik chenel yetu Abuu Shaukani.
Na kwa mawasiliano piga namba hizi ±255658993090 ±255683262816
Whastppp.
Download Lagu Gratis AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 di Gudang Lagu - Lagu456, Download Lagu AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 Mp3 - Lagu Terbaru. Download Lagu AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 ,Download Video AINA YA MAJINI HATARI KWA BINADAMU KATIKA MAISHA YA NDOA.±255658993090 ±2556583262816 3gp Mp4
Click to Install Lagu456.vip