Download lagu 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy Mp3

418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy

Uploader: MirathiYaMitume

Duration: 60

Fast Download



Klik kanan dan open LINK new Tab setelah proses convert selesai
Apabila tampil halaman iklan, tutup halaman tersebut Lalu klik kembali Tombol DOWNLOAD MP3/MP4

Deskripsi:

Title: 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy
Contributing Artist: MirathiYaMitume
Album: 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy - Single
Date: 12 November 2012
Duration: 60
Type of file: Audio MP3 (.mp3)
Audio Summary: mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s

418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy
´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy:
Ama kuoa Majini, wametofautiana wanachuoni. Kuna wanaosema kwamba si Halali, kwa Kauli ya Allaah (´Azza wa Jalla):
وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً
"Na katika Aayah Zake ni kwamba Amekuumbieni kutokana na nafsi zenu (jinsi moja) wake ili mpate utulivu kwao; na Amekujaalieni baina yenu mapenzi na Rahmah." (30:21)
Na katika wanachuoni kuna waliojuzisha hilo na kusema ya kwamba hakuna dalili inayokataza hilo, na hii ndio kauli ya dhahiri. Hakuna dalili inayokataza. Inajuzu kwa mwanaume kuoa Jini, na inajuzu kwa Jini kuoa binaadamu lakini asimuudhi. Pia ni sharti kujua kama Jini hilo ni Muislamu mwanaume, pia ni sharti kujua kuwa ni Muislamu mwanamke. Asiwe ni Kafiri.
Download Lagu Gratis 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy di Gudang Lagu - Lagu456, Download Lagu 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy Mp3 - Lagu Terbaru. Download Lagu 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy ,Download Video 418- Je, Binaadamu Anaweza Kuoa Jini Lakike? - ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy 3gp Mp4
Click to Install Lagu456.vip